Makapuku Forum

Sijui kama kuna jipya apo binamu ...hili goma limewashindaaa wengiii



....ni upuuzi na kwa kuwa tunaongozwa na a budding authoritarian tunaodhani wanaweza kumwambia mfalme yuko uchi hawasemi, wanamjua jamaa lacks self-control, an infantalist to sum up, anadhani anajua kila kitu and can't learn to sit still. ataongelea korosho, ataongelea makinikia na huoni matokeo. Kila saa anataka aonekane anapendwa na media haziwezi kumuambia ukweli maana ni kama tunaishi kwenye polisi state. Biasara zinakufa na ukiuliza wasio na vichwa wanasema biashara za wapiga dili ndo zinakufa

Ngoja niendelee kufanya kilichonileta hapa Masasi, kesho inshallah nikimaliza mapema naanza kurudi Ntwara
 

Serikali hii kwa swala la mafao ya wafanyakazi sidhani kama kuna jipya,

Wacha tungoje huo mjadala wa wachumi wa Tanzania.
 
InshaaAllah,,kunywa maji naona yaliyopo yanakaba
 
Zingatia ahadi


..hizo ahadi alizitoaga kwa dada mmoja mtutsi, aliahidi kabisa kumuoa ili awe raia lakini maskini dada wa watu na urembo wake aliambulia kuwekwa ndani miaka 9, vita ilipoisha ndo akaamua arudi kwao. Nitakupa namba yake kama unataka kupata uzoefu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…