Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,323
- 95,698
Huku poa kabisa ,natumai huko ni poa pia
Kwema mjamboHabar za huko
Kwema mjamboHabar za huko
tanteee🙂Karibu sana
Boo boo[emoji8][emoji8][emoji8]
Huku kwema kabsa mjomba,,tunapambana mkuuHuku poa kabisa ,natumai huko ni poa pia
Shangazi,,nakusalimuBoo boo[emoji8][emoji8][emoji8]
Huku kwema kabsa mjomba,,tunapambana mkuu
Asante sana anko!!!tuwe na wakat mwema popote tulipoMapambano ndio muhimu sana,Mjomba wangu ,na nina shukuru km ni kwema
Makapuku nawasalimia Mimi na mapenzi tele toka kwangu yawafikie popote mlipo [emoji178][emoji178]
Nawe piaAsante sana anko!!!tuwe na wakat mwema popote tulipo
Sijambo mjomba Shkamoo[emoji113]Binti hujambo ? Tuko salama kabisa
Shangazi,,nakusalimu
Marhaba Mjomba ,tuko salama ,tunamalizia majukumuSijambo mjomba Shkamoo[emoji113]
Nanna mko salama.
Marhaba Mjomba ,tuko salama ,tunamalizia majukumu
Hahaha shangazi bhana,,ndo tatzo la anko kuwa na shangaz saa sita kasoroUnanitega as niitikieje [emoji47]
Anyway Marhabaa[emoji38][emoji38]famailia haijambo.?
Haha ilitakiwa uitoe salami kikamilifu aiseeHahaha shangazi bhana,,ndo tatzo la anko kuwa na shangaz saa sita kasoro
Familia haijambo kabsa
Waambie aunt anawapenda[emoji23] [emoji23]Marhaba dada ake,,nipo nao hapa [emoji23]
HongeraAhsante Sana ,ndio tunamalizia
[emoji120] [emoji120] [emoji8]tanteee🙂