Makapuku Forum

Kwa hiyo siruhusiwi kuchangia kitu c bora nitoke huku
Hajakwambia utoke lakini amekushauri kuwa ni busara kwako kutochangia kila kitu hasa ambayo hujaelewa, hata mimi sichangii kila kitu, mengine najifanya sioni, japo naona.
Hapo juu ameulizwa mtu mwingine nawe ukarudia swali hilohilo kwa muulizaji. Elewa tu kwa nia njema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…