Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Hahahaha...bado ndugu yangu, ninadhalilika tu sasa hivi humu, nimepewa stakabadhi tu bila malipo. hii serikali iache tu Mungu yupo itapazwa maana imesema itanunua na sasa hawajanunua wanatoa stakabadhi tu.
Yaani nilianza kukopa, mfano juzi nimekopa TV used ni smartTV, ila huyu Dullah ni mtu mzuri maana naye alinunua korosho za kangomba namfichia siri
Sasa binamu ww utaanza vp matumiz ili hali hata mpunga bado haujasoma vzr?kwa hyo na zile namba za sepenga ulizokuwa unakesha kuztafuta zmekuwa useless??
Kingine kipi umekopa binamu mbali na tv used haha