Mjomba wetu wa dhahabu kbs
Kamwagwa kwaniSasa hivi yupo single huoni alitaka kurudi kwa tetra hawezi niangusha
...ni kweli niligonganisha magari ndo maana nikafukuzwa utrafiki polisi, nilikuwa napataga sana hela yaani kila jumamosi na jumapili nilikuwa nashinda bar nakata mvinyo kama samaki baharini nagonganisha meli na boti za Azam
...wewe ndo ndugu yangu, nitafanyaje sasa, naogopa kupazwa kwa kukataa maneno ya anko wangu.
Jiwe ambaye bahati mbaya ni aunt yangu akija mniambie
Heshima yko binamu...ulikuwa hujui!! Yaani akija atakwambia ni mdogo wake lakini kila siku nasema ngao ya maji na ngao ya kidonge zote sawa
Mara paaaaapuuuuuuuuu mzee wa chura ndo mmilikii halaliiii wa jiweee...
Utatuenyeshaaa humu ndanii
Atajikaza kiumeCjui kama ataweza hata kumpa maelekezo mgeni
Na shangazi mwenyewe
EeeenhHawezi na uzee ule
HahahhahhaWe ndio uliharibu toka mwanzo.ilobaki ss uniamkie tuu
Hahahaha wala si haribu binti
Hivi hili la Mjomba bado linatumika?
Wakati Anko katenguliwa kiuno na mbavu
Hahhahha wamemwaganaKamwagwa kwani
Mkwe wangu na nimemwambia aniamkieBinamu sasa hivi amekuwa mkweo ujue
Aligonganisha na kaachwa mtoto anakula matamu tamu kwa lyon
Yaani nimechoka mmhadi binamu anajua