Makapuku Forum

Polee ila pambana....
Abj kaja hanitakii tena kisa umetoka naye honeymoon ...nikasema ni binamu wangu bahati nzur penz lake likatua mikononi mwa anko wangu mm hapa ...
 
Mkuu una taarifa kuwa yamefanyika mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri na wewe ni mhanga mkubwa sana kwenye mabadiliko hayo?

Nimeona hayo mabadiliko na niliyategemea sana, maana tangu nitangaze kuuza korosho basi imekuwa tabu kwa watu wa karibu yangu. Kifupi, ninachonganishwa sana.

Nitatoa tamko, nitaita waandishi wa habari wiki hii nitoe msimamo, ninaweza kurudisha kadi ya chama nikarudi chama changu kilichonilea, kifupi, nitaunga mkono juhudi
 
Abj kashapaa na hearly sijuiii
 
Reactions: Lee
Polee ila pambana....
Abj kaja hanitakii tena kisa umetoka naye honeymoon ...nikasema ni binamu wangu bahati nzur penz lake likatua mikononi mwa anko wangu mm hapa ...

...aisee, hivi namba ya yule mganga wa instagram bado unayo? Naona dalili za kumshusha mtu kibusha (na sitajali kama ni ke au me, kibusha hakichagui)
 
Reactions: Lee
Nilifomatiiii simuu
...aisee, hivi namba ya yule mganga wa instagram bado unayo? Naona dalili za kumshusha mtu kibusha (na sitajali kama ni ke au me, kibusha hakichagui)
 
Reactions: Obe
Tunahitajianaaa ....baraza lishapitishwaa na kazi zimeanza mara moja

...anko si utulie na wizara moja jameni?
Wengine, hasa mimi ninafaa kuwa waziri asiye na wizara maalum, niwe nahamahama kama mfugaji wa kinyantuzu na kuhakiki ubora wa mazingira nyevunyevu, nikiona ukame tu naenda kwenye unyevunyevu
 
Reactions: Lee

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…