Ndio hivyo mjomba wao watuAsee pole Sana ,samahani kwa huo usumbufu ,sidhani hata km nilikua na lengo hata la kukufahamu
Tayali umewapata jirani,,mapacha kwa huu ukoo ni kugusa tu,wanakuja dabo dabo
Hahahahhah kwa sababu yy sio mwanaume au anko wao watu unamuona huyu binti
Nimefanyaje tena jamaniMkorofi wewe
Tatizo naye anakujaga saa7Atakuja hapa usiku
Hahahhahahha wewe ebu achana na pale kati palivyo patamumuulize hata yeye,alisema hanaga hizo mambo za kukula watoto wa watu,ye pombe tu ndo chakula chake
Ndio hivyo mjomba wao watu
Anakusalimia tu...Asee pole Sana ,samahani kwa huo usumbufu ,sidhani hata km nilikua na lengo hata la kukufahamu
Hahahhahah anko wao watu bwanaHahahaha, nimekoma kitendo cha kusema Niko karibu na wewe naona raia wakaja mbio duh
Asee ,pole Sana ,tuache tu,nikutakie week end njema Rafiki
muulize hata yeye,alisema hanaga hizo mambo za kukula watoto wa watu,ye pombe tu ndo chakula chake
Hahahahahah hapana kuchezeaHahahhahahha wewe ebu achana na pale kati palivyo patamu
Nakuchokoza tu shem, si unajua mimi ni mchocheziNimefanyaje tena jamani
Mweeeh shem tena kwa nani jamani au umepata mke hapa makapuku kwetuNakuchokoza tu shem, si unajua mimi ni mchochezi
Nimeshakusaidia mzee wa ugimbi,nilianza kutahamaki eti ni wewe kweli umeanza hizo mamboHahahaha bora unisaidie asee
HahhahahahhahahHahahaha bora unisaidie asee
Hahahhahahah nacheka mmNimeshakusaidia mzee wa ugimbi,nilianza kutahamaki eti ni wewe kweli umeanza hizo mambo
Hahahhahah anko wao watu bwana