Makapuku Forum

Umoja wa Afrika umekiri kuwa rushwa ya ngono ni tatizo sugu kwa wale wanaotafuta ajira katika shirika hilo la kimataifa.

Mwenyekiti wa umoja huo Moussa Faki amesema uchunguzi wa ndani umebaini asilimia kubwa ya walioathirika ni wanawake wanaotafuta nafasi za kazi za muda.
 
Chukua jukumu la kuwaonesha upendo wanaokupenda.
Wakati mwingi tunasingizia kazi na harakati za kutafuta chakula lakini huja siku ukafutwa kazi. Pesa nazo huisha mtu ukafilisika. Lakini jamii huwa nawe hata baada ya kufariki.
Tupende wanaotupenda!
 
Msafiri Musa Muhumbuka raia wa Tanzania amekamatwa katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya kwa tuhuma za ulanguzi wa mihadarati.

Musa ambaye alikuwa safarini kuelekea Uchina tayari ameshatoa kete 116 za madawa ya kulevya.

Alikuwa amemeza dawa hizo kabla ya kuwasili Nairobi.
Yeye pamoja na wenzake 2 wamepewa chakula ilikufanikisha uchunguzi.
 
Kumbatio hilo pokeeni makapuku toka kwangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…