nitaendelea kujifunza kupitia wengine kila siku, watu wako wamenifunza, na wewe umenifunza kuwa haifai kufuata mkumbo eti kisa rafikiUsijali kaka angu wala haujanivamia kabisa kweli kabisa hatujui mkaka wa watu anawaza vipii uko ili alipize kisasi hatujui ameumia vipiii ukiangalia watu wako wa karibu wamekugeuka
Kwani we hauendi kulala sasaivi?Uwe na usiku mwema jamani
Huwa tunajifunza kutokana na makosa na sio kila kitu cha kuiga sababu rafiki yako au ndugu amefanya na we uige hapana kuna maisha mengine lazima yaendelee tunitaendelea kujifunza kupitia wengine kila siku, watu wako wamenifunza, na wewe umenifunza kuwa haifai kufuata mkumbo eti kisa rafiki
Unataka tutoke wote jamani baba mchungajiKwani we hauendi kulala sasaivi?
We kama hauendi kulala sasaivi nani aende sasa?Unataka tutoke wote jamani baba mchungaji
Huwa tunajifunza kutokana na makosa na sio kila kitu cha kuiga sababu rafiki yako au ndugu amefanya na we uige hapana kuna maisha mengine lazima yaendelee tu
Huo unaotaka kuniletea jamani we mzee
We kama hauendi kulala sasaivi nani aende sasa?
Na mi siendi ng'oo
Bila kuhakikisha umelala salama
Ntakesha humu nafanya patrol
Mi Nina wasiwasi na wewe!Hahahaha, we kapumzike tu,atalala salama hakuna tatizo Mkuu
Hahahahaa baba mchungaji una nn lakini jamaniWe kama hauendi kulala sasaivi nani aende sasa?
Na mi siendi ng'oo
Bila kuhakikisha umelala salama
Ntakesha humu nafanya patrol
Uwe na usiku mwema kaka angu
Hahaahhha na roho mtakatifu akakuonyesha kabisaHahahaha, siwezi kukuletea wizi,halafu sina tabia hizo,ndio maana nilimuomba Mungu na Roho mtakatifu ktk hili
Kuwa na Aman ,mamii
Hahahaha, we kapumzike tu,atalala salama hakuna tatizo Mkuu
Mi Nina wasiwasi na wewe!
Bora nikeshe tu
Mi Nina wasiwasi na wewe!
Bora nikeshe tu
asante nawe piaUwe na usiku mwema kaka angu
Hahaahhha na roho mtakatifu akakuonyesha kabisa
Eti ni kweli Shunie niwaache pekeenu?
Unajua unazidi kunihamasisha nihamishie na godoro humu kabisa?Kwani wewe hofu yako nn Mkuu, shangazi yuko na Anko wako,tatizo liko wapi?
Hahahaha, sawa ukiamua kuja kutulinda ,ila mie Anko ako na shangazi yako Shunie muda ukifika twaenda kulalaUnajua unazidi kunihamasisha nihamishie na godoro humu kabisa?
Nilale humu humu?