Makapuku Forum

Mi nna nia njema kbs..na we ndio unataka nikose za korosho
japo mbahili hatari..sijui tumteke,?


...ha hahahaha, sasa mkiniteka mtapataje hela!! Maana hela ziko na wanajeshi saa hizi, na wakishamaliza kutuhakiki basi wanatupa chetu kila mtu ajijue mwenyewe, na wametukataza kugawagawa hela
 
...sijalipwa bado anko, wanatuhakiki kwanza, kuna wakulima feki na hawana vyeti kwa hiyo wanatafutwa wapunguzwe, sisi tuliofaulu hatuna shida ila ndo wanatuchelewesha
Tukooo pamojaaa kwenyew mahesabu
 
Kumbe unataka ufundishwe kikongoman binamu,hukusema mapema sasa


...nilikuwa sijajua kama nitalipwa hela ya korosho, sasa kicongo ninakitaka maana nimeshaongea na rapa wa Mashujaa band atakuwa ananirusha kila wimbo, akinitaja mara moja anapata buku bee, akichombeza na sifa za kunipamba basi anakula mwekundu wa msimbazi haraka sana
 
Kumbe ndio yalikuwa mahesabu yako hayo,,hatukujua aisee,, mtt fulu kuongelea manoti tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…