Makapuku Forum

Makapuku Forum

...hapa kwenye un'eng'e wa kulaumiwa ni anko wangu kwa kweli, unajua yeye umri wetu haujatofautiana sana, ila ndo alikuwa anaaminika na ukoo anapewa hela yangu ya ada anaenda kuhonga
lawama zote zimuendee aisee,,leo hii hl tatzo wala lisingekuwepo,ila usijar binamu tutalimaza wala usijar,,ras simba yupo kwa kazi hyo
 
...habari ninayo, hapa nimepewa dikishoanri kubwa balaa, nimeanza kuongea hawayuu sijui ilavyuu na mengine mengi. Hawa ndugu zangu ningendako na Tumosa sijajua mpango wao kwangu, yaani najiona nimeanza kukonda kwa kuongea kiinglishi
binamu vp tena??
Tumosa unaona sasa,,tunamsaidia binamu ameanza kutulaumu tena et tunamkondesha maneno kama ailavyuu,hawayuu yamekuwa shida kwake
 
Hilo hilo

Naomba binamu akuwekee wimbo wa mke mwenza wa MARIJAN RAJAB dedication kwako

Obe njoo uliwekee hili song

...anko umenichoka, sasa hivi najiuliza hata kula nimeshindwa, wewe ndo mtetezi wangu humu, ndugu wa damu kabisa lakini unanifanyia fitna na haujaanza leo ulianza tangu kwa yule ambaye sitaki marybaby amjue
 
lawama zote zimuendee aisee,,leo hii hl tatzo wala lisingekuwepo,ila usijar binamu tutalimaza wala usijar,,ras simba yupo kwa kazi hyo


...ras Simba anaaminika sana, ila sasa ubongo wangu ni MB 212 tu itachukua miaka kuelewa, hapa huyu mrembo si atachoka kusubiri maneno ya kiinglish toka kwangu!1!
 
binamu vp tena??
Tumosa unaona sasa,,tunamsaidia binamu ameanza kutulaumu tena et tunamkondesha maneno kama ailavyuu,hawayuu yamekuwa shida kwake


....itabidi niwalaumu tu hakuna namna, maneno ya kiinglishi yananikondesha na huwezi kujua kesho itakuwaje, leo nakonda tu kwa kuongeleshwa kiinglishi na ras Simba.

...hivi haiwezekani mkanipeleka kwa mwalimu wa lugha ya Congo, huko anaweza kujua mambo mengi, halafu kilingala nakihitaji kwa sasa, nikiuza korosho nataka kuwa pedeshee na wakiwa wananiimba marapa wa Mashujaa band nataka niwe nawaelewa
 
Mbona kijiwe hakichangamki

...leta uchangamfu
2ac8d0e360224fac56c7a5421471650f.400x229x16.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom