Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahaha akirudi china yaanze kuporomoka kama ya wema sepetuRafiki usiwe na wasiwasi nitakupeleka china!![]()
Hahaha akirudi china yaanze kuporomoka kama ya wema sepetuRafiki usiwe na wasiwasi nitakupeleka china!![]()




aisee sikuwa nafahamu
Sio abj baba wawili kwa abj yaliisha kabisa mm wa kumlaumu sasa hivi na kulifukua upya ni huyu mzee wa chura Behaviourist
Marhaba binti mpole,,u mzima ww??Sijambo..Shkamoo ya jana na leo![]()
Marhaba mtt mzurNakuamkia![]()
Ah,,binamu yangu yupo vzr sana,,hujamuweka sawa tuTatizo kuna ubahili hata wa nauli
..
siyatakihuyataki?
wataka nini mtoto wangu mkubwasiyataki
Nimecheka km fala yani dah.Hahaha akirudi china yaanze kuporomoka kama ya wema sepetu
Anti kasema yataporomokaRafiki usiwe na wasiwasi nitakupeleka china!![]()
Vita ya asubuhi na mapemahahahha vipi
Yaan kwa abj yalisahaulika kabisaaisee sikuwa nafahamu
Hahaha sitaki yakutokee kama ya wema sepetu ujueNimecheka km fala yani dah.
Hivi humuoni prince amekuquote auVita ya asubuhi na mapema
Kwema baba wawili jamani za wewe na wawili wako wa kudownloadOwk!!
Kwema lkn