Muda wa kubangua korosho kwa meno umewadia
Kheee juu yangu tena nimefanyajeMungu muweza wa yote ,maombi yangu ameanza kuyasikia juu yako
Kwanza Habari ya Asubuhi bibie/binti
HahahhahahTatizo kuna ubahili hata wa nauli
..
Hapana mwambie asubiri tunywe chai kwanza..
Amekuja mchumba ako uko anakuulizia toka janaSi shangazi jamani![]()
Supu imefanyaje tenaSupu anti
Nasubiria zile gari za jeshi niombe liftiAmekuja mchumba ako uko anakuulizia toka jana
Humu utacheka utafurahi mawazo yotee yataisha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
takiii uchokozi wako ukooo
Hahahaha, acha tu,hujaafanya kitu bibie ,tuko pamojaKheee juu yangu tena nimefanyaje
Mm ni bibie uko kwenye ubinti nimeshatoka miaka 20 sijui 30 iliyopita jamani
Hayo majina kwenye utawala huu yana nuksiCharles Tizeba
Charles Mwijage
Charles Kitwanga
![]()
HahahhahahahahMuda wa kubangua korosho kwa meno umewadia
Hahahahh hivi mary huyu mzee unamuelewa kweliHahahaha, acha tu,hujaafanya kitu bibie ,tuko pamoja
babe umesikia?? subiri wenyewe wakule chaiHapana mwambie lasubiri tunywe chai kwanza..