lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Hulali tuu?
Hulali tuu?
Makapuku hawatukani.hamtanitukana?
Atakayefanya hivyo adhabu kali inamhusuhamtanitukana?
hhahahahh hajakutana na wahehe humoo???Halafu kuna muhaya kapanda basi na DOG wake
............
Karibu sana mkuu.Na mm kapuku mpyaaaa humu
Natumia ugoroKaribu sana mkuu.
Nikuletee kinywaji gani!
Nilale kwani mie mtoto, nipo hapa napata Hot Lemon, honey n ginger nachangamsha mwili.Hulali tuu?
Okay, enjoy.Nilale kwani mie mtoto, nipo hapa napata Hot Lemon, honey n ginger nachangamsha mwili.
Safi sana mkuu.Natumia ugoro
Why utukanwe??? Mwaga vituhamtanitukana?
Hyo nzr kiongoz burudaniSafi sana mkuu.
Siku nyingi sana nilikuwa natafuta Ugolomate* nashukuru kukupata.
Muda si mrefu mhudumu wangu EMMYGUY atakuletea.




Poa karibu sana.Hyo nzr kiongoz burudani![]()
Thanks diaOkay, enjoy.
....karibPoa poaPoa karibu sana.
Ukiwa unasubiri kinywaji unaweza kupitia POST NAMBA TATU MWANZO KABISA MWA HUU UZI.
Pamoja sana.Poa poa
Hakuna shakanaweza ila sjawah weka kitu kama picha humu ndo tatizo...ila nikirud hewan nitazimwaga kama njugu
Karibu sanaNa mm kapuku mpyaaaa humu