Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
HahhahhahahMpaka muda wa mechi nitakuwa nimelewa tayari..
Usishangae tukifungwa nikashangilia..![]()
Nataka kula kabisa kabla ya mechi
HahhahhahahMpaka muda wa mechi nitakuwa nimelewa tayari..
Usishangae tukifungwa nikashangilia..![]()
Bado jamani mbona sijauonaHivi hajauweka huo wimbo bado??
Ndio nimemaliza kula hapa mimi ! Just now...Hahhahhahah
Nataka kula kabisa kabla ya mechi
Ebu muite huyo binamu obe jamani aweke hiyo nyimboNdio nimemaliza kula hapa mimi ! Just now...
Mambo ya kushidwa kula baadaye ujinga.
Kicheko cha nn tena cha man u na man city au
HahahahahahahahHahhahhahah
Nataka kula kabisa kabla ya mechi
Tunafunga ngoja uoneKwanii kuna kingineee ?
Ebu ukoHahahahahahahah
Nimeghairi nameonyeshwa msururu wa dadazAcha ujinga bwana akupe nauli mpaka ya kwenda
HahahaWe baba nani upo nae bunju
Itakuwaaa vzuriiii kinomaaaaaTunafunga ngoja uone
Sio foleniii wala msururur ila ndo alivooo binamu wanguu ...Nimeghairi nameonyeshwa msururu wa dadaz
Bora angekuwa anatoa mahela ata akiwa na msururu unamvalisha condomNimeghairi nameonyeshwa msururu wa dadaz
Binamu wako anatumia vyema Mali ya umma.,Sio foleniii wala msururur ila ndo alivooo binamu wanguu ...
Bora angekuwa anatoa mahela ata akiwa na msururu unamvalisha condom
Hela hakupi akwendreee uko
..
Bora angekuwa anatoa mahela ata akiwa na msururu unamvalisha condom
Hela hakupi akwendreee uko






Huyu baba kamfungia nani bunjuHahaha
Tena zaidii ya vizuriiBinamu wako anatumia vyema Mali ya umma.,
Sijaenda jamani![]()
..
Ulienda kanisani leo,?