Sitaki kuzisikia habari za korosho zako
Binamu
Umedumu huu unaenda miaka 3 sasa mkuuMkuu sisemi-mengi ila udumu!!
Sitakiiii binamu mambo ya korosho zakoUsikonde aunt yangu wa ukweli, sasa korosho tunazibeba na magari ya delaya, ntakupitishia kwako.
Sasa ukae nje kabisa maana sitaki nishuke majirani zako waniteke, si unajua nimeuza korosho
Hivi una wapenzi wangapi
Hahhahahahaha shikamoo binamu.....nakupenda binamu kwa hii salamu ya wikend, sio mtu jmosi katoka kula makange unasikia Shikamooo OBE.
Nimeuza korosho, sasa kunywa chochote utakacho
Hajatoa yake bado ataweza kuchagua kweli??
ukaguzi umekamilika na mauzo mkamaliza,?.....wewe omba zawadi yoyote, nakupa yaani hata mate ya bureeeee nakupa , si nimeuza korosho jeshini
.....wewe omba zawadi yoyote, nakupa yaani hata mate ya bureeeee nakupa , si nimeuza korosho jeshini
Hahaahahha mtu na mbebez wakeukaguzi umekamilika na mauzo mkamaliza,?
Nyoka yupiii huyo binamu.......sauti ya kumuingiza nyoka pangoni
Nyoka yupiii huyo binamu
ukaguzi umekamilika na mauzo mkamaliza,?
Hahaha. ..nimeenda kunywa za jeshini zina punguzo lkn risiti hakuna.....lipa kwa hela yako, niletee risiti nikawaoneshe tra isje kuwa uliomba kupunguziwa
Naulizia kwanza nipate uhakika km zimeuzika nitie nangaHahaahahha mtu na mbebez wake
Ooooh nyoka dushelele...si huyu nyoka anayefanana na samaki aitwaye kirungumpweke
sio kutoa. .?