marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Wanasaidia sk baba akiwa mkaliMtoto akiwa na mwaka na nusu usilale nae tena.m
Wanasaidia sk baba akiwa mkaliMtoto akiwa na mwaka na nusu usilale nae tena.m
Mimi ndio napata supu haka kentuki...
Beer za jana zilikuwa balaa..!
Hahahhah kwahiyo ulitekwaWallah,,nimekumiss pia nimeshindwa hata kutekeka imebidi nichomoke kidogo![]()
Panda juu hukoNatafuta magazeti na je wajua hata sijui yalipo Shunie
Ndio eti,🙈Hahahhah kwahiyo ulitekwa
Ndo najaribu kupekua..Panda juu huko
HahhahahaNdio eti,![]()
Nipo fresh my dear hofu kwako nimefurahi sana kukuonaNdo najaribu kupekua..
Uko fresh lkn,?
Sina namna,,nimewamisi Makapuku kwakweliHahhahaha
Kwahiyo ukachomoka kidogo
Hahahhahahah makapuku oyeeeSina namna,,nimewamisi Makapuku kwakweli
Hoyeeee yaani usipoingia huku bc unapata joto la mwiliHahahhahahah makapuku oyeee

Wallahi,! Fanya unitumie japo mirinda nyeusiNipo fresh my dear hofu kwako nimefurahi sana kukuona

Endapo atapatikana wa kuturudisha kwenye maisha hayo,bila shaka itakua.Hali ya maisha itakuwa shwari kweli kama zamani?
Nani huyo tubashiruEndapo atapatikana wa kuturudisha kwenye maisha hayo,bila shaka itakua.
Tuendelee tuu kuisoma sk moja ataibuka atakaeturudisha kwenyewe (maisha mororo)Nani huyo tubashiru
HahahahahHoyeeee yaani usipoingia huku bc unapata joto la mwili![]()
Nakutumia sema kingine jamaniWallahi,! Fanya unitumie japo mirinda nyeusi![]()
![]()
Kabisa yaani,,!Hahahahah
Unajihisi kuungua
Mm mwenyewe huwa najiuliza hivyo na hivi ndio akiwa kama Mugabe tumekufwaHali ya maisha itakuwa shwari kweli kama zamani?