Makapuku Forum

Tulikua tunabishana ooh hunijui, nikamwambia mimi shushushu wa kujitegemea nakujua sio sana si ndio ikabidi nionyeshe uthibitisho, kidogo
Hahahhahhah ushushushu ukakuponza na kuchuniwa juu

Woiiii mm bwana yy pia ananijua kuna kaka mmoja rafiki yake sana huyo mkaka anajifanyaga wa heshima alimuonyeshaga picha yangu sijui walitumiana watajua wenyewe

Siku hiyo kanikuta mmu nachat na mtu jukwaani huyo mtu ananiuliza shunie we potabo nikamuambia ndio mm potabi akatokea yy anakudanganya mm namjua shunie vizuri tu ni kibonge kheee nikamwambia unanijua kuliko ninavyojijua ndio kuja kujiuliza huyu kanijuaje kumbe yule mkaka wanaejuana ameniuza kwake
 
Hahahah!! Aisee

Ila ajanichunia ila kumekuwa na heshima flani hivi, tunachati tu ila jf bana basi hadi leo anataka kujua nilipata wapi picha
 
Hahahah!! Aisee

Ila ajanichunia ila kumekuwa na heshima flani hivi, tunachati tu ila jf bana basi hadi leo anataka kujua nilipata wapi picha
Hahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…