Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Mkuje uko acheni kukulana sasa
....vipi na wale wanaotafunana wanaruhusiwa kuja?
Mkuje uko acheni kukulana sasa
Mimi nipo salama kabisa ndugu yangu....hajambo naamini.
salama mdau?
Mimi nipo salama kabisa ndugu yangu.
Habari zako wewe aisee.
Sheikh Ponda.Apart from Diego Maradona, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi and John Cena which other great footballer do you know?
Daah wewe cheki bwana mimi nina uchovu wa hatari hapa sina hata mood yani....nashukuru habari zangu si mbaya, nafurahi kusikia uko vizuri mdau.
nachekicheki game hapa
Apart from Diego Maradona, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi and John Cena which other great footballer do you know?
Watu hamlali
Karibu...hujalala pia?
Kafanyaje
Mimi ndo Nakula hapaKaribuView attachment 924191
...hajaonekana na tetesi zinasema ametekwa