Makapuku Forum

Kama ni mrefu wastan upo vizuri ila kuna wanaume wengine hawajiamin hasa wafupi wanavaa vyenye soli ndefu
...mimi nina kitambi, sio flat shoe tu ndo navaa , sipendi viatu vya kufunga gidamu, navaa vya kuchomeka tu sio nianze kuinama kusumbua kitambi changu nilichokisumbukia kwa muda mrefu

...mzee wangu Mungu amrehemu, alininunulia kiatu kimoja cha ngozi yaani nimeanza nacho fomuwani hadi fomfoo ndo nikaamua kukitupa, kiatu cha ngozi hadi kikafanana na mimi
 
Jaribu kutumia manukato kiasi fulani kwani aina nyingine hudumu muda mrefu na unapojipulizia manukato ona unafanya hivyo kwa faida yako na sio kuhakikisha kuwa kila mtu anajua umetumia manukato ya aina fulani hapo ndiyo huleta shida kidogo kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha manukato na hivyo kuleta shida kwa wengine.
Pia unashauriwa kutotumia manukato ili kuondoa harufu ya mwili kutokana na kutooga au kutokana na sababu nyingine hapo maana ya manukato hupotea. Manukato hupendeza iwapo yatapuliziwa wakati mwili na nguo zikiwa safi. Tumia aina ya manukato uipendayo ili kuweza kukuweka mrembo zaidi.
 
Vya ngozi vinadumu sana na vizuri mno
...mzee wangu Mungu amrehemu, alininunulia kiatu kimoja cha ngozi yaani nimeanza nacho fomuwani hadi fomfoo ndo nikaamua kukitupa, kiatu cha ngozi hadi kikafanana na mimi
 
...mtu meno yana layer ya njano akitabasamu utadhani mdomoni kuna mgodi wa dhahabu.
 
Baada ya hapo unaosha au,,?
 
asante
 
Kama wewe ulivoyafanyaa kwa kuagaa kwamba unaendaa ile sehemu kumbe umekachaaa ila anko wangu unajijuaa wewe

...ile sehemu nilienda ila ndo hivyo nikakuta umeacha chata tayari, ikabidi niwe mpole, ila sasa safari hii anko usimtelekeze kama ulivyomfanya yule teller wa bank kule tanga, unatujazia watoto wasio na mama tu
 
Reactions: Lee

...ngoja nikae kiti cha mbele kabisa, hili somo zuri na tunakoelekea utatufundisha na mastyle maana mama yenu anataka style za kikiristo tu. Asante
 
...ile sehemu nilienda ila ndo hivyo nikakuta umeacha chata tayari, ikabidi niwe mpole, ila sasa safari hii anko usimtelekeze kama ulivyomfanya yule teller wa bank kule tanga, unatujazia watoto wasio na mama tu
Alafuu kama ulikuwepooo wa tanga kanidiiiipuuuu
 
...ukishapata dozi hii halafu uwe na hela sasa na uwe umelipa madeni yote, ukiachana na lile la bodi ya mikopo basi hamu inafika kileleni
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…