Niko na uzima hofu kwakoSawasawa,vo uko na uzima
MfyuuuuuuuWe msalimie tu hata kama hapendi
Na wasio na chura pia unawapendaHakuna kama Shangazi alinitafutia chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Pole kwa kupotea jamaniMi niko poa kabisa tumepoteana sana naona kila nikgusa hapa kapuku naona majina mapya mengi
Sijambo kaka ninge baba wawili mwenyewe huyoooo usiniambie unataka shikamoo bwanaHaujambo mdogo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo mpaka weekend tenaBinamu weekend ikiisha nitaimiss sana ile salaam pendwa ya weekend![emoji1][emoji1][emoji1]
Shangazi acha umbea, wasio na chura nawapenda tu kidogo!Na wasio na chura pia unawapenda