Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Aaaa unamwambia tu boss kubwa.Hahhaha kule wananifukuza mpaka mwenye story mwenyewe utasikia shunie ondoka na watu wako
Eiish nikualike tena mm mke wa mtu hivi naanzaje
Nakua mgeni kma wageni wengine. Half sie si unajua tumezoea ugeni nisipotembelewa au kumtembelea mtu hua sijiskii vzur.



