Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mm tena hilo jibu pigia mstariScreenshot upeleke mke mweee
Mm tena hilo jibu pigia mstariScreenshot upeleke mke mweee
Mm napeleka ujumbe kama ifuatavyoUmwambie dada ako arudi la sivyo shemejio anaweza haribika si unamuona lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu uzee huu huwa nasahau kama niliiweka
Sawasawa,vo uko na uzimaNimeanzia nilipoishia mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaa
Nitakoma mm jamani marahaba jamani
SawasawaMm napeleka ujumbe kama ifuatavyo
Shangazi alinifanyia kazi nzuri sana ambayo kila mtu alishindwa kwa hiyo kumsalimia shikamoo haiepukiki!Nasikia eti mjini mwiko kuamkia mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wa mikoani huku ndo tumebaki na desturi ya kuamkia
We msalimie tu hata kama hapendiShangazi alinifanyia kazi nzuri sana ambayo kila mtu alishindwa kwa hiyo kumsalimia haiepukiki!
Hakuna kama Shangazi, alinitafutia chura![emoji1][emoji1][emoji1]We msalimie tu hata kama hapendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo utulie ba chura wakoHakuna kama Shangazi alinitafutia chura![emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa kweli pale nimefika siyo kwa mto ule wa kuegemezea kichwa usiku nikiwa nimechoka![emoji1][emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo utulie ba chura wako
Hongera binamu ynguKwa kweli pale nimefika siyo kwa mto ule wa kuegemezea kichwa usiku nikiwa nimechoka![emoji1][emoji1][emoji1]
AiseeMwenzangu uzee huu huwa nasahau kama niliiweka
Marhaba dada angu,,,haujambo?Kaka ningendako shikamooo
Mi niko poa kabisa tumepoteana sana naona kila nikgusa hapa kapuku naona majina mapya mengiMm mtanifukuza humu hamtaniona sijambo kaka akee sijui ww
Mm napeleka ujumbe kama ifuatavyo
Sijambo,hbr ya singidani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marhaba dada angu,,,haujambo?
Singidani kwema kabsa,,,weekend leo tunakunywa togwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]..habari za wapi dada angu?Sijambo,hbr ya singidani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binamu weekend ikiisha nitaimiss sana ile salaam pendwa ya weekend![emoji1][emoji1][emoji1]Sijambo,hbr ya singidani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]