Makapuku Forum

Makapuku Forum

Steve Jobs alishawahi kumshawishi raisi wa kampuni ya vinywaji 'Pepsi' moja kati ya maneno ambayo alimwambia wakati anaongea nae faragha "unataka kuuza maji yaliyowekwa sukari maishani mwako yote, au ungana na mimi tukaibadilishe Dunia kupitia vifaa vya kidigitali" raisi huyo wa Pepsi alikubali na kuungana na Apple lakini baadae akaja kuchochea Steve Jobs kufukuzwa kwenye kampuni yake kisha yeye ndiyo akachukua nafasi ya Steve Jobs kama CEO wa Apple.
Screenshot_20181101-193228.jpeg
 
Ipp na Touchmate kushirikiana kutengeneza simu maizi (smartphone) ya kwanza Tanzania, pamoja na vifaa vingine vya kidigitali kama kompyuta mpakato (laptop) , kompyuta bapa (tablet), saa maizi (smartphone), ikiwamo na vyamatumizi ya nyumbani.

Kiwanda hicho kinategemewa kuajiri watanzania 2,000 wengi wao wakiwa walemavu katika utengenezaji wa simu maizi za kwanza hapa Tanzania. Je! upo tayari kununua simu na vifaa vya umeme kutoka Tanzania?
Screenshot_20181101-193356.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom