Makapuku Forum

Makapuku Forum

We ningendako dizaini kama sikuamini sikuamini hivi! Dada wa bamkubwa wa kufikia ambae automatically anakuwa ni aunt yangu ndie mama ake na Tumosa! Huyu aunt kanipa jukumu la kumchunga binamu yangu kwa sababu bado ni underage, she's only 15 kwahiyo watch out!!

Mkuu kwa hyo huniamn kama ni kaka pure wa Tumosa

Kumbe wewe bhasi kuna baadhi ya ndugu zako huwafahamu aisee,,,ukoo mkubwa huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom