Wanafunzi Madrasa Zanzibar wafungiwa vijiwe shingoni ili wafuatilie masomo. Mwalimu Jecha Sule Mohamod kutoka chuo cha madrasatul-Qadiriya kisiwani Zanzibar, anasema mbinu hii imekuwa inatumika tangu zamani kuwafanya watoto watulie na kuzingatia kile wanachofundishwaView attachment 917108
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatimaye Marekani imetoa wito kwa Saudi Arabia na washirika wake kukomesha vita dhidi ya wapiganaji wa kihouthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen .
Yemen inahitaji msaada mkubwa wa kibinadam baada ya mapigano ya miaka minne kuharibu muundo msingi.
Mamilioni ya watu wananjaa na wengi wanaugua utapia mlo baada ya Saudi Arabia kuweka vizuizi kwa njia zote za ardhini angani na hata majini. View attachment 917112
Let's share the fun.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko mzima slimLet's share the fun.
Aseee....Uko mzima slim
Sana. Nipo shambani huki napalilia bamiaUko mzima slim
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasomi wetu!View attachment 917223
Binamu chige eti anataka kunipa nauli ya mwendokasi 650
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] kushukuruAseee....
Mungu ni mwema sana
Hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole na kaz ya paliziSana. Nipo shambani huki napalilia bamia
Hata hajui nini maana ya kunyonya,[emoji38]
Habibty kwani hio ni vijiwe au tunguja?Wanafunzi Madrasa Zanzibar wafungiwa vijiwe shingoni ili wafuatilie masomo. Mwalimu Jecha Sule Mohamod kutoka chuo cha madrasatul-Qadiriya kisiwani Zanzibar, anasema mbinu hii imekuwa inatumika tangu zamani kuwafanya watoto watulie na kuzingatia kile wanachofundishwaView attachment 917108