Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Na rangi yake ni ya njano au kijan ama?Ndula ipo kama nyanya chungu lakini hailiwi ipo sana milimani kwetu usambanaani
Na rangi yake ni ya njano au kijan ama?Ndula ipo kama nyanya chungu lakini hailiwi ipo sana milimani kwetu usambanaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawezi ziacha salama huyooo[emoji23][emoji23][emoji23]chuchu zenyewe saa 5:45[emoji126][emoji126]
Oooh maana nmeona binamu anaomba kufundishwaSio binamu mbebez wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunakulana kikomando kutubu pia kupo tutajisogeza kwa muumbaji [emoji36][emoji36]
Nmefanyaje ShunieKhaaaa kaka ningendako
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]chuchu zenyewe saa 5:45[emoji126][emoji126]
Njano na kijani zipo ndula hizoNa rangi yake ni ya njano au kijan ama?
Huyo hapo kaka ningeAisee
Anataka kufundishwa kunyonya?@marybaby anataka kufundishwa eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo hapo kaka ninge
Ndio hizo tunazoziongelea tunaita(tunguja).Njano na kijani zipo ndula hizoView attachment 917287
Sisi tunaita ndulaNdio hizo tunazoziongelea tunaita(tunguja).
Imepita mda sijaziona hta zimeanza kupotea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eenh anataka kufundishwa kunyonya kaka ninge nakuaminia ujue usiniangusheAnataka kufundishwa kunyonya?
Sisi tunaita ndula
Mambo ya kulana tuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawezi ziacha salama huyooo
Kwani wew ni wa wapi?Sisi tunaita ndula
Kabila gani?Hata kabila letu znaitwa hvyo hvyo
AiseeeKhaaaa kwa nn sasa mfundishe sasa mwambie unataka kunyonywa akufanye hivi au vile