Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pia ni vizuri kuhakikisha usafi wa kwapa ili kuweza kuhakikisha kuwa,singlet yako inakuwa katika hali ya usafi muda wote na ili isiwe tabu kwako kuinua mkono kwani wengi wanaficha kwapa zao kutokana na uchafu kitu ambacho si kizuri.
Uvaaji huo unazingatia sana rangi kutokana na matakwa ya mvaaji ila wengi wanapendelea rangi nyeupe.
Nguo yoyote ya rangi nyeupe ni nzuri na inapendeza ikivaliwa kwani rangi nyeupe pia huonyesha kipimo cha usafi wako.
Kwa kina dada wanaopenda kuvaa singlet nao wanatakiwa kuhakikisha kuwa kwapa zao zinakuwa safi ili kuweza kuwa huru zaidi.
Na wanyoe jamani makwapani khaaa mtu upo kwenye mwendokasi mwanaume kasimamia bomba kwapa manywele tena vya brown
 
Kumbe sijakusalimia dada Ester??
Nmeamka na mambo mengi,,ada za shule za anti zako znanchanganya hapa

Shikamoo dada
Marahabaaa,acha kusumbua anti zako kukulipia ada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](mie ndo nimeelewa hivyo)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uondoji wa nywele katika maeneo flani
MWANAMKE na hata mwanaume anatakiwa kuwa msafi na si usafi wa kubahatisha.Sehemu ya nywele za siri zimeelezwa kuwa ni sehemu ambapo ngozi yake ni yenye kuhitaji uangalifu mkubwa wakati wa kuziondoa.
Hizi si nywele za kawaida na haziwezi kuondolewa kiholela.Sehemu zinazokaa nywele hizo ni kwapani na maeneo ya faragha.
Asanteeeeee
 
.
Screenshot_20181031-085827.jpeg
 
Back
Top Bottom