We dada Shunie, kumbe sometimes unamletea za kisista duh huyu jamaa?! Kama ndivyo, mkuu wangu Wick nakuunga mkono kwa 1000% na hata hizo za kwa Mmasai mpotezee!
Mkuu Wick, hapa nikiwa ndani ya wiki ya majungu na fitina ningependa kwa heshima na taadhima kuchukua nafasi hii kusema kwamba, ndugu yangu, tufanyiane mtimanyongo kwa mengine lakini sio kwa maneno! Kwahiyo, Binamu Shunie umesema?!