Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Pesa ndio
Hiyo nayo ni pesa?
Hiyo nayo ni pesa?
Hapo kwenye rangi unamaanisha nini Tumosa?! NI kwamba mke mwenzako, au?! We dada Shunie, unao wangapi humu? Mi kama binamu yako naumia nikiona wapo wengi bhana...! Mimi nimemwa-approve Wick tu hata kama hana hela manake ndie pekee anayeweza kumtoa nduki Malcom Lumumba kwenye huu mtaa!
Nakuonea huruma mbwa wangu tu wa kijerumani matumizi yake kwa siku ni dola 300 na ukimpa noti ya buku kumi anaikojoleaPesa ndio
Shenzi taipu zake... mwambie akatafute wa level za nywele za Wamasai. Mwambie, mimi kaka yako ambae ni kaka binamu, am watching him! Tell him I can provide you with all services including room services!Eti akaniambia atanipeleka kusuka kwa rafiki zake wamasai
ungeni juhudi za mweshimiwa mtatajirikaNjo ututajirishe
leta mishe dada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wamelala
Salama shemeji,,,habari za weekend???Ninge za wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shunie sio kweli aisee,,,anti zako wapo kweli,,,wanasema anti yule mwenye nywele ndefu km mhindi yupo wapiNinge kumbe na wewe una watoto wa insta kama tumosa yaani watoto wa kuchorwa
Hahahha shikamoo ninge kumbe unazipendaSalama shemeji,,,habari za weekend???
Unanichunia shikamoo yangu siku hz,,,nakuchora tu
Kwakweli akakafute wa level za masai sasa kaka chige inabidi unipe laki 4 ninunue Peruvian hairShenzi taipu zake... mwambie akatafute wa level za nywele za Wamasai. Mwambie, mimi kaka yako ambae ni kaka binamu, am watching him! Tell him I can provide you with all services including room services!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usiwe na wivu kaka chigeHapo kwenye rangi unamaanisha nini Tumosa?! NI kwamba mke mwenzako, au?! We dada Shunie, unao wangapi humu? Mi kama binamu yako naumia nikiona wapo wengi bhana...! Mimi nimemwa-approve Wick tu hata kama hana hela manake ndie pekee anayeweza kumtoa nduki Malcom Lumumba kwenye huu mtaa!