Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20181027-183709.jpeg
 
Hapo kwenye rangi unamaanisha nini Tumosa?! NI kwamba mke mwenzako, au?! We dada Shunie, unao wangapi humu? Mi kama binamu yako naumia nikiona wapo wengi bhana...! Mimi nimemwa-approve Wick tu hata kama hana hela manake ndie pekee anayeweza kumtoa nduki Malcom Lumumba kwenye huu mtaa!
Ni mke mwenzangu ndioo
Hata mm namjua huyohuyo Wick kuna mwingine kwani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom