

binamu wao huyo yupo vzr sana,,,kila weekend lazma awapitshie korosho
TUOMBE:Baba Mtakatifu Mungu wetu mwenye upendo mkuu Asante sana kutuamsha salama leo Jumamosi tarehe 27 Oktoba 2018 tukiwa wenye Afya njema .Wapo wengi walitamani kuiona leo Hawajaweza.. Tunawaombea wote waliopoteza ndugu,jamaa ,marafiki wenza wapate faraja kuu tunawaombea wajane,wagane yatima wapate tumaini na kukutegemea wewe tu Baba wa ya yatima.Tunaomba Amani itawale.Tunajikabidhi leo hii mikononi mwako kaa nasi Baba ongoza ratiba zetu zote uwe nasi katika Majonzi ,katika furaha,katika kazi hesabu hatua zetu tukutangulize katika kila jambo Mfalme wa Amani.Uwe Tumaini letu katika yote .Tujalie safari njema majini ,nchi kavu,angani tuende na kurudi salama..Tunaomba bariki kazi za mikono yetu tusaidie tupate yote ambayo umetujalia.Mungu wetu tunawaombea watoto na wajukuu zetu wawe salama popote walipo...Wasaidie watoto wetu wakujue na wakufuate wewe katika maisha wakutegemee katika kila jambo.Tunaomba Amani Mshikamano, kuvumiliana na Upendo wako utawale.Ponya wagonjwa na wote wanaopitia changamoto mbalimbali na watu wote wapate haja za mioyo sawasawa na mapenzi yako.Roho Mtakatifu kaa nasi .


Shikamoo kaka ningendakobinamu wao huyo yupo vzr sana,,,kila weekend lazma awapitshie korosho
TupoooMakapuku vipi mmetajirika mbona hamuonekani?
leta mishe MzeeTupooo
Njema za wwHabari za asubuhi