Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,307
Kwa afya njema ya kinywa chako, unashauriwa kupiga mswaki mara mbili kwa siku. Wakati unafanya hivyo, usiwe na haraka. Chukua muda wa kutosha kusugua meno yako yote kwa ukamilifu huku ukihakikisha kila kinachopaswa kuondolewa kimefikiwa.
Kulingana na umri, mazingira au hali ya afya, unashauriwa kutumia mswaki sahihi utakaokufaa pamoja na dawa ya meno iliyo na madini ya floridi. Mswaki mzuri ni ule ambao visafishio vyake havikuumizi na unaokaa vizuri kinywan
Watoto wapewe mswaki unaofanana na umri wao ili kufanikisha hili. Wale wadogo wasimamiwe ili kuzingatia namna ya upigaji na kuepuka kutomeza dawa ya meno ambayo haipaswi kumezwa.
Kanuni ya tatu ni kujizoeza njia nzuri za kupiga mswaki. Unapaswa kuushika mswaki wako kwa namna ambayo visafishio (brashi) vyake vitalenga kwenye makutano ya meno na ufizi.

TUOMBE:Baba Mtakatifu Mungu wetu mwenye upendo mkuu Asante sana kutuamsha salama leo Jumamosi tarehe 27 Oktoba 2018 tukiwa wenye Afya njema .Wapo wengi walitamani kuiona leo Hawajaweza.. Tunawaombea wote waliopoteza ndugu,jamaa ,marafiki wenza wapate faraja kuu tunawaombea wajane,wagane yatima wapate tumaini na kukutegemea wewe tu Baba wa ya yatima.Tunaomba Amani itawale.Tunajikabidhi leo hii mikononi mwako kaa nasi Baba ongoza ratiba zetu zote uwe nasi katika Majonzi ,katika furaha,katika kazi hesabu hatua zetu tukutangulize katika kila jambo Mfalme wa Amani.Uwe Tumaini letu katika yote .Tujalie safari njema majini ,nchi kavu,angani tuende na kurudi salama..Tunaomba bariki kazi za mikono yetu tusaidie tupate yote ambayo umetujalia.Mungu wetu tunawaombea watoto na wajukuu zetu wawe salama popote walipo...Wasaidie watoto wetu wakujue na wakufuate wewe katika maisha wakutegemee katika kila jambo.Tunaomba Amani Mshikamano, kuvumiliana na Upendo wako utawale.Ponya wagonjwa na wote wanaopitia changamoto mbalimbali na watu wote wapate haja za mioyo sawasawa na mapenzi yako.Roho Mtakatifu kaa nasi .