Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,735
Nilimpa homework ya kunitafutia churaMna homework
Nilimpa homework ya kunitafutia churaMna homework
Hivi nawewe ni mdau wa Buckets ? Ile sehemu bwana pananikera sana mikelele hiyo halafu metuvurugia mtaa.....Woyooooo aweke bucket moja ya heineken
Hivi nawewe unaendaga Buckets mzee ?Kwakua ni wewe acha nilipe mm,karibu sana kwa Mama Manka ,muke ya Anko Shayo
Hazipo humu binamuNilimpa homework ya kunitafutia chura
Binamu zipo,tafuta hata kwa tochi!Hazipo humu binamu
Ninunulie tochiBinamu zipo,tafuta hata kwa tochi!

Mkuu pia ukiacha kwa Mangi hakuna napo pajua ,ndio maana namualika kwa Mama Manka ,Mke wa Anko Shayo ,huko kwingine mtanihadithiaHivi nawewe unaendaga Buckets mzee ?
Mama Manka bucket tutamuonea ila Heineken zipo ,yy anasema katoni sio bucket ,HahahahaWoyooooo aweke bucket moja ya heineken
Nilimpa homework ya kunitafutia chura
Huko kwingine hata mimi siendagi bwana.Mkuu pia ukiacha kwa Mangi hakuna napo pajua ,ndio maana namualika kwa Mama Manka ,Mke wa Anko Shayo ,huko kwingine mtanihadithia
Mie huko hapana, nacheza na Shayo tuHivi nawewe ni mdau wa Buckets ? Ile sehemu bwana pananikera sana mikelele hiyo halafu metuvurugia mtaa.....
Hivi nawewe ni mdau wa Buckets ? Ile sehemu bwana pananikera sana mikelele hiyo halafu metuvurugia mtaa.....
Mama Manka bucket tutamuonea ila Heineken zipo ,yy anasema katoni sio bucket ,Hahahaha
Anaweka katoni zima ,hizi si unaweza beba au?Hahaha basi aweke nusu katoni
Post ipi tena mpwa?Anko huwezi amini nilienda siku moja na sitamani tena kwenda hivi ile post yangu kwa nn mods walifuta niliyokuquote
Hahahaha, safi sana ,walau wewe umepajua huko bucket ,mie ndio nasikia kwako ,ushamba mzigo acha ni ubebe ,nikipata wakunipeleka ,inshalaah nitaenda kushangaaHuko kwingine hata mimi siendagi bwana.