Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mm jamani pamenishinda pale sijui ndio ushamba wangu fujooo wakaka wa mjini na wadada ya mjini yaani vuruguuuu
Juzi bwana kuna jamaa nakaa naye jirani kamchukua manzi fulani pale Buckets. Sasa wakashindwa kulipana aisee saa nane usiku nimelala naskia yule dada anatukana matusi makubwa huku analia anasema anatafuta ada ya mtoto halafu jamaa kakataa kumlipa hela yake. Walinzi wakawa wanamtoa nje kwa nguvu.....Nilijisikia vibaya sana na kucheka tuuuh.
 
Usiku Umelala bar Mkuu ? Hahahaha inaonekana huko buckets kuna totoz sana za kuopoa
 
Yule dogo alichukuana na huyo manzi pale Buckets akaja naye pale kitaa bwana ni jirani tu. Sasa usiku jamaa likamfukuza manzi wa watu bila kumlipa ndiyo akaanza kupiga kelele akilalamika kwa nguvu hadi sisi nyumba ya pili tukasikia......
 
Kwahiyo manzi kakopwa aisee wana kazi ngumu hawa wanaojiuza

Back
Top Bottom