Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,674
- 1,251,121
6.Tumia Karanga Mbichi Kiasi .
Karanga pia huondoa kiungulia na maumivu ya tumbo lenye gesi, kama ukitumia kwa kiasi . pamoja na kuwa maji husafisha acid tumboni , lakini pia karanga zinanyonya acid, zinaondoa matatizo ya tumbo. Au unaweza ukatumia Soda crackers ambayo inachanganywa na maji. hii nayo inanynya acid tumboni. kwa sababu inafanya kazi kama antacid.
Lakini pia kama una sodium kidogo inakubidi uepuke hii mbinu na umwone dactari kwa ushauri.
Mbinu hizi ni rahisi na ni nzuri , na unaweza kutumia maisha yako yote. kwa kuongezea kufuata mbinu hizi ,Fanya kujaribu kuwa na afya bora na mtindo mzuri wa maisha ili kuondokana kabisa na matatizo ya tumbo.Na usisahau kushare hizi mbinu za afya na marafiki zako!
“I don’t want to be sick anymore. I’ll eat healthier.”