Tukabiliane nayo, matatizo ya tumbo ni makubwa na yanaudhi. yanaharibu mood yako, appetite yako, na hata maisha yako.
kwa kifupi , ni mwanzo wa kuanza siku mbaya.Hata hivyo, haitakiwi kuwa hivyo, kama kila mara ulalamika kuhusu kukosa haja kubwa na tumbo kujaa, Angalia hizi mbinu sita ambazo zitasaidia kuondoa tatizo na kukusaidia kuwa mwenye afya zaidi
1.A banana A Day Keeps The Doctor Away.
Vitamini B6 inapatikana kwenye ndizi, amabayo kwa kawaida husaidia kuodoa Acid tumboni. Ukweli, wale wanatumia matunda mengi na mbogamboga hawawezi kupata tatizo la kusumbuliwa na tumbo mara kwa mara, kujaa tumbo hakuna kwao.
Kuna makundi mawili , Kundi la kwanza linatumia vidonge vyenye vitamini B-6, B-12, B-9 , Pamoja na L- tryptophan, methionine, betaine na melatonin.
Kundi la pili linatumi omeprazole kulingana na maagizo . kati ya siku 40 dalili zote za acid hupotea kwenye kundi la kwanza , kwa hio kunakuwa na mafanikio asilimia 100.