5.Ukiwa Upo Nyumbani siku za weekend tafuta kazi za kufanya ili uwe bussy.
Ili akili yako isifikirie kula chakula kila wakati, kuwa bize na shughuli za nyumbani , fanya usafi kuzunguka nyumba yote, soma vitabu, nenda matembezi. lakini kama ukikaa na kuangalia tamthilia utakula sana, usitumie pombe, pombe ina calories nyingi haitakusaidia kupungua uzito na diet yako itakuwa ni bure.
Epuka kutumia pombe. ukifuatilia hizi tips zitakusaidia kupunguza nafasi ya kula zaidi, iwe siku za kazi au za kawaida, na ukumbuke kuwa hii sio njia pekee , zipo nyingi. jitahidi kutafuta zile ambazo zitakusaidia.