Usinikumbusheee...nilikuambia bora tulewe tu weekend hii kuliko kufuatilia hii timu. Timu inazidiwa hata na ile timu uliyokuwa unafundisha hadi pale ulipopata ulaji wa timu ya netball sinza
Pole sana binamuTumosa , nipo bhinamu yangu.
Sijambo kidogo, nilienda kutibu jino lakini nilipofika kwa dentist akajidai fundi magari kugongagonga meno kuangalia kama ni mazima, kagundua meno 8 mabovu, mimi nimemwambia moja tu ndo linauma hayo mengine aachane nayo. Asilete njaa zake kwenye meno yangu.
Hiyo ndo habari yangu nimeona nikwambie maana wewe ni bahati mbaya sana umekuwa ndugu yangu
Leo kalale binamu ntalinda mwenyewenami nipo nalinda ila nakula viroba pia kupoza maumivu ya jino
Wapo kuwapekua wazungu eeehhaha, wameenda kumtafuta mo
Mkuu unatakiwa kuja kulinda jukwaa usiku kucha!Mkuu nalewa SAA mbn tunaitana kn nn
Sawasawa mkuu naombaninunulie hata maji basiVzr Sana ,we unanifaa lkn acha tu wanga wengi, endelea na ulinzi wakikusumbua niambie fasta nakuja
...kumbe na wewe uliziona, aisee! zile kucha utasema za bati, mwili wangu wote una alama utasema reli ya sgr
Muache akunywe leoMkuu unatakiwa kuja kulinda jukwaa usiku kucha!
Halafu ulabu umeshafika kunako tayari,siyo kuja kwa mkwara ule!Muache akunywe leo
Kaziii unayoo ankoo mwendo wa kukwaruzanaaa japo na wewe unamkwangua...kumbe na wewe uliziona, aisee! zile kucha utasema za bati, mwili wangu wote una alama utasema reli ya sgr
Halafu ulabu umeshafika kunako tayari,siyo kuja kwa mkwara ule!
Kaziii unayoo ankoo mwendo wa kukwaruzanaaa japo na wewe unamkwangua
waache wapekue weee, mwisho watapekua visivyo pekuliwaWapo kuwapekua wazungu eeeh
Nakujua kabisaa...mimi namuuma kabisa, ujinga wankati wa kwenda, akijidai kulia napiga mwano