Na kweli sanchez alimbeba
Sasa mechi inayofuata tusikie Man- U kafungwa, mtu atuletee ALFULELA ULELA Hekaya za Abunuasi eti Kalimakenge alikataa kwenda Shule ESOPO, hata wakitoa drooo tu, kamata Lukaku fyeka, Pogba fyeka, Sanchez fyekeleaa mbali,
Na hawa kina Lingard sukuma bench, Matial sukumilia na mashabiki woote wanaoshangilia na kuchezaa chikichichiki wakiongozwa na
Shunie sukuma ndani, na kama kuna wengine wanabet Man u itafungwa sukuma ndaniiii.....