Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hebu uwashe mootooooHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
moto na uwakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
uwake motooooo
View attachment 891096

Hebu uwashe mootooooHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
moto na uwakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
uwake motooooo
View attachment 891096

Your Excelence beautiful Sakayo..Transcend ukuje huku
Kabisa, ujue Leo ni siku yake ,yuko na mambo mengiHallelujah
Kusamehe humuweka mtu kushikilia vinyongo ni kitu kibaya sana
Yaan T sijui yuko wapi
hahahaa Jinga sana ".. yule mchepuko wako wa UDSM. ..umeshamuacha "??😳 usimuite ataharibu hewa si muda jichawi lile!.. Ila bibi mbona sio baya kama aunt!😀
Wewe nani kakuambia uniblock?Mm niliambiwa nitatumiwa mtu aniletee vyote mpaka sasa naamka sijaona hata simu iliyoingia ya kuambiwa kuna mizigo inakuja
AmenPamoja sana,nanyi mbarikiwe ktk safari yenu ya maisha
man u hamna kitu mule " lile ni gari la mkaa .. kama sio walking deadNa kweli sanchez alimbeba![]()
![]()
![]()
Sasa mechi inayofuata tusikie Man- U kafungwa, mtu atuletee ALFULELA ULELA Hekaya za Abunuasi eti Kalimakenge alikataa kwenda Shule ESOPO, hata wakitoa drooo tu, kamata Lukaku fyeka, Pogba fyeka, Sanchez fyekeleaa mbali,
Na hawa kina Lingard sukuma bench, Matial sukumilia na mashabiki woote wanaoshangilia na kuchezaa chikichichiki wakiongozwa na Shunie sukuma ndani, na kama kuna wengine wanabet Man u itafungwa sukuma ndaniiii.....
Hakuna tatizo MkuuKaka..
Nini tatizo
Yo needed my dearYour Excelence beautiful Sakayo..
Here, i am ..