Kama umewahi kusikia neno water proof, utaelewa vizuru ninachotaka kukupa hapa, Kuna watu hata hawafanyi mazoezi ili wapungue mwili , wao wakovizuri siku zote hawapati magonjwa ya kisukari ,moyo kuumwa miguu, mara kuumwa figo na hata kuwa wanyonge nyonge. watu hawa hutumia njia ya baiolojia katika kuishi kwao.
WANA ADABU KATIKA KULA KWAO,HUFUATA TARATIBU ZA ULAJI.
Kula chakula sahihi ni Ufunguo.kama unataka kuuweka sawa mwili wako ndani na nje,hakikisha unakula vyakula vya asili vya mimea, acha kula sukari,acha kufakamia chips. ukitaka kuishi bila ya kuugua mara kwa mara fuatilia ulaji bora na sahihi ,na wakati sahihi ,tena ukiwa na njaa tu. . tuangalie ulaji wetu kwa siku,;
SAA 12 ASUBUHI : Kifungua kinywa chako kiwe ni kahawa ya maziwa nzito ,tena kahawa iwe ni ile yenye virutubisho, si unaelewa kuna kahawa mbalimbali, basi tumia kahawa bora na maziwa ,ukiweza kama una mbuzi kamua mbuzi tumia maziwa yake na kahawa,
BAADAE KWENYE SAA MOJA MBILI : wakati ukiwa unaangalia na kusikiliza habari maana siku hizi watu wanapenda kusikiliza taarifa mbalimbali ,au yaliojiri siku hio ,unatakiwa kula yogati, kama huna yogati kula viazi vitamu kidogo tu vibichi au muhogo kidogo mbichi,na viwe vimeaandaliwa vizuri
unakula kipande kidogo na sio vingi. chochote kati ya hicho
Yogati si inanenepesha pia
Ee unene wa afya.
Basi nikajua kuhusu kupungua ulivyoelezea na ukaweka yogati
Hii inanipa shaka, waarabu na mbwa wapi na wapi.... Hafu hapa "kwa mujibu wa stori", huyo mbwa ni mbwa koko, la, sio koko, alikuwa anafuata nini jalalani?
Hii inanipa shaka, waarabu na mbwa wapi na wapi.... Hafu hapa "kwa mujibu wa stori", huyo mbwa ni mbwa koko, la, sio koko, alikuwa anafuata nini jalalani?
Just najivuruga tu...
Ni kupungua kiafya sio ile unakondaa pyeee kuna kukonda kiafya hivyo unabalansi vyakula. Na vyakula vyote huwa vinaleta unene. Ukiridhika tu na maisha hakuna diet itakayofanya kazi mwilini
Bongo wanavunjaa
Na kweli sanchez alimbeba [emoji4] [emoji4] [emoji4]