Pablo alikuwa mafia sanaaaaFAHAMU MAISHA YA KUUZA MUUZA MADAWA YA KULEVYA NGULI PABLO ESCOBAR
Dawa za Kulevya ni moja ya ulevi unaopigwa vita mno karibu mataifa yote dunianiZipo aina mbalimbali za dawa za kulevya lakini dawa aina ya Cocaine ni dawa hatari mno ambayo ukiianza ni vigumu kuacha kutokana na kuathiri haraka mfumo mzima wa binadamu.
Pengine unajiuliza ni nani haswa muanzilishi wa uraibu huu? Basi fahamu kuwa Pablo Escober ndie muanzilishi wa uraibu huu.
Nathubutu kusema asingekuwepo Pablo Escober duniani basi kusingekuwepo na dawa za kulevya aina ya cocaine. mfahamu Pablo Escober na namna alivyowekeza kwenye biashara hii
Thanks mamilo
Pablo alikuwa mafia sanaaaa
Atakuja
Huyu jamaa yuko responsible kwa vifo vya watu dunia nzima kwa overdosage....maana yeye ndo muhasisi wa Poda...daah.Fahamu Maisha Ya Muuza Madawa Ya Kulevya Nguli, Pablo Escobar......Part 2
Huyu bwana Suaréz alikuwa na nguvu kiasi kwamba alikuwa na jeshi lake binafsi la anga (Air force) na wanajeshi wa miguu 1,500 ambao walipatiwa mafunzo nchini libya.
Pablo alitumia uwezo wake wa kujieleza na uzoefu wake wa ulimwengu wa kihalifu kumshawishi Suaréz na kumueleza kuhusu mkakati wake wa kuiteka biashara ya mihadarati ya Cocaine nchini marekani na akamdadavulia jinsi ambavyo yeye Suaréz atapata utajiri wa kupindukia kama atakubali kufanya nae biashara.
Pia Pablo alimpa wazo Suaréz kuwa atumie ushawishi wake alionao serikalini (Suaréz alikuwa amefanikiwa kumpenyeza Mdogo wake serikalini na kuwa Waziri wa mambo ya ndani) ahakikishe wanakutana na kiongozi wa Cuba Fidel Castro ili wamuombe kuwa mshirika wao katika mambo kadhaa.
Suala hili lilifanikiwa kwani Pablo na Suaréz walipata fursa adhimu na wakakutana na Fidel Castro na ombi lao kubwa kwake lilikuwa ni kuwaruhusu kupitisha mizigo yao nchini kwake Cuba na nchi za jirani pasipo bugudha.
Pia walimuomba aruhusu ndege zao za mizigo zitue kwenye viwanma vya ndege vya Cuba na kujaza mafuta pale inapobidi kufanya hivyo. View attachment 889187
Haya mambo uyasikie tu kama hauna ndugu anayetumiaHuyu jamaa yuko responsible kwa vifo vya watu dunia nzima kwa overdosage....maana yeye ndo muhasisi wa Poda...daah.
Shunie, nna ndugu yangu alitumia ila yeye alifanya Heroine, yani tangu akiwa Shuleni Uganda....yeye alimix bangi na Heroine....alikuja kuwa chizii balaa, vikao vikakaa wakampeleka Tanga kuna institution flan hv ipo Lushoto huko Lutindi miliman huko yani bila hivyo tungempoteza maana hatua aliyofikia ni ile akikosa arosto yake sasa hadi anatetemeka mwili mzima, aliacha kutumia ila mpaka leo ana hali flan hv ya kuzubaa bado hajatengemaa vizuri.Haya mambo uyasikie tu kama hauna ndugu anayetumia
Nina mjomba yangu ni teja acha tu tumpeleke sobar hataki tumpeleke akanywe hata dada zao za methadone hataki anasema tusimlazimishe
Tumuache eti akiamua mwenyewe atafanya lini sasa gari linazidi kuwaka tu haya mambo narudia uyasikie tu kama hauna ndugu yako wa karibu anayetumia
Shunie, nna ndugu yangu alitumia ila yeye alifanya Heroine, yani tangu akiwa Shuleni Uganda....yeye alimix bangi na Heroine....alikuja kuwa chizii balaa, vikao vikakaa wakampeleka Tanga kuna institution flan hv ipo Lushoto huko Lutindi miliman huko yani bila hivyo tungempoteza maana hatua aliyofikia ni ile akikosa arosto yake sasa hadi anatetemeka mwili mzima, aliacha kutumia ila mpaka leo ana hali flan hv ya kuzubaa bado hajatengemaa vizuri.
Ishu hapo siyo wakili bali aina ya sheria /hukumuKapata wakili mzuri tu, huku Tz angeangalia Miaka isiyopungua 30 au kifo tu ashukuru hata hiyo miaka 15.