Sasa leo ndo uanze kufukua makaburi....si uweke LIKE tu inatoshaKausha ndio napitia moja moja hapa sijaingia makapuku nina wiki sasa
Th name kweli una mke, werrason kaimba sana wala shem hakuitikia, hadi jamaa kaishiwa nyimbo na kusepa
Cc
Lizzie
Werrason

Kufukua makaburi nimuhimu hasa kama barabara inatakiwa kujengwaSasa leo ndo uanze kufukua makaburi....si uweke LIKE tu inatosha
Poa basi
.............
Mkuu unakosa adabu kubishana na PrezdaaKufukua makaburi nimuhimu hasa kama barabara inatakiwa kujengwa
Mkuu nimeona waifu naye anisaidieHiyo avatar yako....![]()
![]()

Hahahaa basi nimeacha mkuuMkuu unakosa adabu kubishana na Prezdaa
Lakini umewahi kujiuliza jambilo ni jina la ke or me?Hiyo avatar yako....![]()
![]()
Isijekuwa umetoa heshima zoooote ukasahau ya kwako mkuu! Unajua hata kwenye kugawavisheti ni lazima mgawaji naye ajibakishie!Hahahaa basi nimeacha mkuu
Heshima kwako president bitoz bila kumsahau vice president jimena na prime minister th name heshima kwenu wakuu
Bila kuwasahau makapuku wote humu heshima kwenu
Hapo sawa endelea ku like tuHahahaa basi nimeacha mkuu
Heshima kwako president bitoz bila kumsahau vice president jimena na prime minister th name heshima kwenu wakuu
Bila kuwasahau makapuku wote humu heshima kwenu
Hahahaa basi nimeacha mkuu
Heshima kwako president bitoz bila kumsahau vice president jimena na prime minister th name heshima kwenu wakuu
Bila kuwasahau makapuku wote humu heshima kwenu

KanaumwaYoung blood uko poa mkuu
Hahahaa miss chaga ni ke bana trust me mwenyewe kakiriLakini umewahi kujiuliza jambilo ni jina la ke or me?
Jf unaweza kuta ke anajifanya dume, na me anajifanya jike kama miss chagga
Nimejibakishia mkuuIsijekuwa umetoa heshima zoooote ukasahau ya kwako mkuu! Unajua hata kwenye kugawavisheti ni lazima mgawaji naye ajibakishie!
Nimejibakishia mkuu