...hapa namba tano ndo napopapenda sana, ikianza Ramadhan napumzika, ni mwendo wa kudoea tende tu masjid sikujua huwa nafanya utaratibu mzuri
Shikamoo dada
Hahahahahaha hii juis naipendaga maeneo ya kinondonii kuna kijiwe changu cha hii kitu...kwa kuwa kinaongeza nguvu kama ulivosema ntampeleka anko
Jezi inatakiwa og na maandaliz juu anko
Nmekwama kidogo ankoo reservation time inakata uskuu huu na kesho kasafarii ketu ntakwama awa ea tanzania una utaratibu gan nao ...ao nikose yale mambo ufurahi
...huyu ndo yule aliyemficha anko wangu wiki jana, kwani mlimuona huku na kisingizio chake eti alienda kufuatilia jezi ya manchester united
Binamu wewe si mkristo
Hii jezi nikinunuliwa ndio binamu ataacha habari za jezi ninunuliwe tu jamani
Hahahahahaha hii juis naipendaga maeneo ya kinondonii kuna kijiwe changu cha hii kitu...kwa kuwa kinaongeza nguvu kama ulivosema ntampeleka anko
Anko unaweza kuwa siliasiiii kidogo kwenye hili la jez...kila mara nikisikia sababu za wewe kutoipata hii jezi najiaminisha kabisa utasubiri sana. Anko wangu akiahidi kitu kukileta labda kama utalipia, zawadi kwake ni msamiati wa kiesperanto
..ha hahhahaa, yaani hizi nguvu za kiume zinatufanya wanaume tujiandae utasema wapishi wa pilau, mara congo dust, mara tikitimaji la kuchemshwa, mara garlic, mara ky, mara erecto mara mihogo mibichi na karanga/korosho. Mara konyagi mara nini sijui.
Hizi maandalizi huzikuti kwa wapiga puli na kwa sisi wenye ndoa za muda mrefu ambapo sikunyingine unaweka mkono tu kuangalia kama ipo
Binamu ky kumbe inaongeza nguvu za kiume khaaaa..ha hahhahaa, yaani hizi nguvu za kiume zinatufanya wanaume tujiandae utasema wapishi wa pilau, mara congo dust, mara tikitimaji la kuchemshwa, mara garlic, mara ky, mara erecto mara mihogo mibichi na karanga/korosho. Mara konyagi mara nini sijui.
Hizi maandalizi huzikuti kwa wapiga puli na kwa sisi wenye ndoa za muda mrefu ambapo sikunyingine unaweka mkono tu kuangalia kama ipo
Anko unaweza kuwa siliasiiii kidogo kwenye hili la jez
...kila mara nikisikia sababu za wewe kutoipata hii jezi najiaminisha kabisa utasubiri sana. Anko wangu akiahidi kitu kukileta labda kama utalipia, zawadi kwake ni msamiati wa kiesperanto
....wanasemaga chagua moja bila kujua kuwa unaweza kujagua zaidi ya moja. wewe kaa ukijua tu kwenye ramadhani nafunga na kwenye Krisimasi napokea zawadi. maisha ya kambale. Karibu
Hiviii kwelii hii kitu yenu ina nguvu gani jamani wanaume tunahangaishana hivi kama anko wangu ...au nyie mnaongezagaa nguvu pasipo sisi kujuaBinamu ky kumbe inaongeza nguvu za kiume khaaaa
Wewe si unalala mapemaSiku hizi unazurula
Hiviii kwelii hii kitu yenu ina nguvu gani jamani wanaume tunahangaishana hivi kama anko wangu ...au nyie mnaongezagaa nguvu pasipo sisi kujua
Wewe si unalala mapema
Ata sijajua nmeuliza nnKitu yetu ipiiii
Mm nimeuliza kwa binamu nimeshangaa