Nimekaribia...umesema vema, safi sana. Ila mwanzo wa wikend huwa siongei mambo ya msingi sana, karibu sana jukwaani
Nina mwl mzuri shunie hujui mzee...ha hahahaha, hadi ukijua kumtag mtu na kufungua pm mimi nitakuwa nimeweza kuliozesha hili bibo liwe wine
Hahaha hakuna cha posho wala nn binamu,,kwema lakini...ulipotelea wapi mdau, longitaimu hadi tukawaza labda umeenda kuchukua posho kule Mwanza
Hahaha hakuna cha posho wala nn binamu,,kwema lakini
Hahahahah ulimuomba namba kumbe?atakuwa bado anashungulikia hyo namba.....salamu zimefika usikonde, tena bila kuchelewa, labda na huyu ABJ akija atakuja na namba niliyomuomba. Umefanya vizuri kumuita.
Kuna mdau anaitwa Numbisa anashusha nondo za maana, pita usome, mimi siwezi kuzisoma saa hizi maana nakula vyombo hapa na kuburudika na sebene