Makapuku Forum

Obe njoo ulinde umesahau kazi yetu


...nimeshafika binamu, usijali na nimemuona SHIMBA YA BUYENZE katokelezea mitaa hii anaangalia usalama.

Nimesoma magazeti Shunie asante sana na Numbisa asante kwa tabia 10 kwa kumi, nimezipenda na umeziwasilisha vema.
makala za humu ndo sababu zinalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Ijumaa na wikend njema
 

...kwa nchi zetu za dunia ya tatu hii ni sawa kabisa, ha hahhahaha. ila dunia ya kwanza, khali ni tofauti kidogo (labda inawezekana kuna tofauti ya kufasiri unemployment, kama unanielewa nasema nini). Watu wenye dread (siwaongelea marastafari) wapo wana ajira zao nzuri tu, wake kwa waume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…