Makapuku Forum

Si bora ngekewa ingeniangukia, kicheko cha aunt yangu tayari kimeniharibia, Sasa nakutegemea wewe uoneshe kuwa Mimi ni mtu makini.

Umeamka poa lakini.

Ngoja niende nikasake faranga tutaonana jioni nikiwa kwenye bendi hapa bwalo la magereza
Nko poa binamu
Hakika ww ni mtu makini kwa vyovyote vile Thad lazima atafute nauli akufuate,mkakae kwa mjomba wako
muangalie tv ya isidingo
 
 
Mm nikutakie tu kila la heri na huyo mzungu mweusi wako kwahiyo magazeti utasoma jioni binamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…