lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Heee! Kwani ni lazima kulizwa?Kama hajawahi kukuliza unafanya nini kwake!
Heee! Kwani ni lazima kulizwa?Kama hajawahi kukuliza unafanya nini kwake!
Nipo makini my wifi,I'm watching you
SanteeeeeeNaona uwepo wa Jimena kwenye likes.
Ila napenda kuwapongeza wote co nmetoka from zero and hero
DRC sio shwari ila Kinshasa.Wanasemaje Congo?
Mkuu nimesikitika san kwa ban yako, jitahidi kuepuka watu wanaokuamshia hisia za hasiraHivi jambilo nji ya uokofu ni ipi?
Maana nmechoka kupigwa Ban kila wakati hvyo naomba unisaidie ndugu kwa ushauri ili nami niwe kijana mtiifu kama mlivyo ninyi
Niko pouwaa sana kaka, vipi wewe?Kijana mzima?
Afadhali, yaani utakuwa umemsaidia sana.Najaribu kumshawishi awe padre kwani wote wanamkataa
Hapana.Yupo humu
Mbona umeleta ishu za kupigwa???....mtoto aliekulia apigwapo hiyo ndio approach yake....the same to affairsHajawahi kunipiga hata siku moja

Aseee pole sana.Yah! Ni hili tu bhasss
Katika ubora wako paroko.Mkuu nimesikitika san kwa ban yako, jitahidi kuepuka watu wanaokuamshia hisia za hasira
Machozi ya furaha ni muhim sanaHeee! Kwani ni lazima kulizwa?
Hadi namwonea huruma kwa kweli.Naona Youngblood ana stress kwa kuwa Nahrene ameolewa na mwanaume mwingine sasa hasira zake analeta hadi huku
![]()
![]()
![]()
![]()
Yeye hayupo hivyo!Mbona umeleta ishu za kupigwa???....mtoto aliekulia apigwapo hiyo ndio approach yake....the same to affairs![]()
Asante kaka.Hongera
Hayo yapo sana tuMachozi ya furaha ni muhim sana
Hapo sawaaaNipo makini my wifi,
Tunakimbiza mbayaaa.na kwenye kona shaaa
OkayHapo sawaaa
Salamu zao kina awilo longombaDRC sio shwari ila Kinshasa.