Asante sana, nimeyasoma. Ujue ndugu yako mimi ninayasomaga wa mwisho ili kuondoa kero za wanywa keroro kuomba kurasa za michezo. Huwa sichoki kukuambia asante ujue. Na siku hizi
Numbisa naye ananenepa kwa Asante zangu ninazompa kila nikisoma makala zake